

Usafi katika matunda
leo katika pita pita yangu nikakuta kijana nadhani ndo wanatoka mkoa kuchukua matuda kama hayo pichani yanaiwa (watermelon) kwa lugha ya taifa kwa upande wa pili )kwenye gari yao bila kujali amelala juu ya matunda akiwa amevua shati wala bila kujali kuwa anahatarisha afya za walaji , jamani tufanye usafi wa kina tununuapo matunda .bahati mbaya nilikingwa na gari jingine kwa hiyo ikawa nguumu kupata picha yenyewe,
No comments:
Post a Comment